Leo tarehe 13 Desemba sisikii nyimbo za Krismasi

Leo tarehe 13 Desemba sisikii nyimbo za Krismasi

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
317
Reaction score
520
Kuna nini? Miaka mingine, tarehe kama hizi mtaani ni jingle bell tu, lakini safari hii sijasikia. Wauza miti ya mikrismasi baadhi yao safari hii wameamua kuuza ukwaju wa Said Salum Bakhressa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hivyo ujue majukumu yamekutinga

Children celebrate Christmas than any peer
 
ilisikika sauti moja ikisema
Haya yote tuishukuru serikali ya awamu ya tano.(just joke)

Chief maybe uko bize na majukumu ya kujenga taifa
 
Kwa kusema kweli hii inategemea uko wapi.Leo nilikuwa kariakoo, kituo cha mabasi pale Congo Street, nimeona miti ya Xmas ya kila namna na miziki ya jingle bell

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Download hata kwenye simu yako izisikilize kama ulipozoea kuzisikia wapo kimya. 'Raha jipe mwenyewe'.
 
Sheria ya makelele na usumbufu kwa wakaazi inazingatiwa...

Piga kelele zako watu wa mazingira wakuibukie... uwende ukaongeze pato la taifa...



Cc: mahondaw
 
Hii mada kila mtu ana copy na ku paste tuachieni sikuku yetu nyie wazushi tushawajua🤬
 
Kuna nini? Miaka mingine, tarehe kama hizi mtaani ni jingle bell tu, lakini safari hii sijasikia. Wauza miti ya mikrismasi baadhi yao safari hii wameamua kuuza ukwaju wa Said Salum Bakhressa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mioyo imesinyaa , siyo kuwa hakua hela ya kununua kanda, CD etc hapana. Hakuna aliye na raha! Walioshinda hawana raha, walioshindwa hawana raha, ... Basi CCM wangelikuwa wanachexa kanda, sasa wao kuna nini? Hapo ndipo utajua kuwa siyo hela/ugumu wa maisha... kuna kitu zaidi ya hapo!
 
Back
Top Bottom