Acha Uzushi.Upo Kijiji gani?Kuna nini? Miaka mingine, tarehe kama hizi mtaani ni jingle bell tu, lkn safari hii sijasikia. Wauza miti ya mikrismasi baadhi yao safari hii wameamua kuuza ukwaju wa Said Salum Bakhressa
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda Krismass imeahirishwa,wacha tuchape kazi kwanza...Kuna nini? Miaka mingine, tarehe kama hizi mtaani ni jingle bell tu, lakini safari hii sijasikia. Wauza miti ya mikrismasi baadhi yao safari hii wameamua kuuza ukwaju wa Said Salum Bakhressa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mioyo imesinyaa , siyo kuwa hakua hela ya kununua kanda, CD etc hapana. Hakuna aliye na raha! Walioshinda hawana raha, walioshindwa hawana raha, ... Basi CCM wangelikuwa wanachexa kanda, sasa wao kuna nini? Hapo ndipo utajua kuwa siyo hela/ugumu wa maisha... kuna kitu zaidi ya hapo!Kuna nini? Miaka mingine, tarehe kama hizi mtaani ni jingle bell tu, lakini safari hii sijasikia. Wauza miti ya mikrismasi baadhi yao safari hii wameamua kuuza ukwaju wa Said Salum Bakhressa.
Sent using Jamii Forums mobile app