vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
hongera kwa matumizi yaliyobora mi hapa nilipo nna siku 3 sikumbuki kama nilishapokea salaryDah kudadadeki! Maisha magumu sana *****......Yani mshahara umeingia tar 25 leo nipo mweupeeee. . . Pesa yote kwishney. . Dah
Anyways, hivi ile mimba ya wema ni ya luis au idris? Na naskia lady jay dee kafulia ni kweli?
Dah kudadadeki! Maisha magumu sana *****......Yani mshahara umeingia tar 25 leo nipo mweupeeee. . . Pesa yote kwishney. . Dah
Anyways, hivi ile mimba ya wema ni ya luis au idris? Na naskia lady jay dee kafulia ni kweli?
Mi mshahara wangu uliisha kabla ya kuushika,nilipoupata umefanya kupita njia tu. Mimba ya wema muhusika ni Ali kiba, na Jide hajafulia, ila habari njema kwake ni kuwa karudiana na Gadna.Dah kudadadeki! Maisha magumu sana *****......Yani mshahara umeingia tar 25 leo nipo mweupeeee. . . Pesa yote kwishney. . Dah
Anyways, hivi ile mimba ya wema ni ya luis au idris? Na naskia lady jay dee kafulia ni kweli?
hongera kwa matumizi yaliyobora mi hapa nilipo nna siku 3 sikumbuki kama nilishapokea salary
Umejitahidi... wengine ziliwaishia tar 27!!!
Mnabishana bure tu
Mimi mtoto wa kishua ndo niliyempa mimba Wema c unajua anapenda watu smart co wachafu km ng'ombe bhana !!!
Hapana aiseeeBro we ndo watu wanakuitaga msukuma? Kumbe upo JF?
Kudadadeki....Umejitahidi... wengine ziliwaishia tar 27!!!
mimi BUMU niliingiziwa tarehe 20 january,,,leo limeisha na semester inaisha mwezi wa tatu.... teh teh ni shida aseeh
HERI YAKO WEWE SISI VIJANA WA HOSEA MWISHO WA MWEZI HATUJA UONA