Leo TBC wako busy kweli kweli na mkutano wa CHADEMA...kwa kweli kumekucha!

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Picha inajieleza ....

======



Watumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakiendelea na maandalizi kwa ajili ya kukuletea mbashara matangazo ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyoandaliwa na baraza la wanawake la chama hicho (BAWACHA).

Maadhimisho hayo yatafanyika kesho katika ukumbi wa Kuringe mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Matangazo hayo yatakuwa mbashara TBC1, TBCOnline, na TBC Taifa.
 
PEOPLES! POWEEER! While in Rome live like Romans; mgeni rasmi hope ameshaandaliwa kujibu salamu ya umma! Ha ha ha!
 
Unaungana nao tu, CCM hawatoki leo wala kesho. DJ kaamua kuandaa future ya familia yake, siasa za upinzani zimemchosha na raia wamesha kubaliana na maisha yalivyo.
 
Kunyweni sumu mumfuate bwana wenu Magumashi huko jehanam
 
Kwani tatizo nini, mimi ninaona haya ni maendeleo makubwa sana nchi imeyafikia katika Demokrasia.
Sijui wanaopinga walipenda hali iweje
 
Hapo inatumika "Mbinu Namba Sita" (Kulamba Asali).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…