Leo Tena clouds, Dogo janja kufunguka yote

Leo Tena clouds, Dogo janja kufunguka yote

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Entourage ya dogo Janja tayari tumetia timu hapa Clouds FM, mimi nikiwa kama mpiga picha wa dogo Janja sasa hivi tunasaini kitabu cha wageni tayari kuingia kwenye kipindi.
Kaa hapa hapa kwa updates zote
 
How mkuu?
Ni kati ya mamembers ninaotamani kukutana nao maana ni mtu mwenye uelewa wa mambo mengi sana.
Personally namkubari sana sema sijui yuko wapi maana sioni comments zake siku hizi.
Kuna Wazee Wanamla Uyo

Mi Usiniulize Hayo Maswali Ndugu Yangu Bado Nayapenda Maisha Yangu
 
Back
Top Bottom