MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hahahahhahaha lohhh nahisi kupasuka mbavu zanguMsikose kwenye ndoa yangu na Faiza foxy
Siyo kaka janja?Krish akimuona dogo Janja atamuita uncle Janja [emoji23]
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Nilishawai Kuntafuta Uyo Bibi Nikatishiwa MaishaMsikose kwenye ndoa yangu na Faiza foxy
Huwa wanawaambia watoto wao watuite ankoSiyo kaka janja?
How mkuu?Nilishawai Kuntafuta Uyo Bibi Nikatishiwa Maisha
Tangu Kipindi Icho Sikuwai Tena Kumtafuta
Kuna Wazee Wanamla UyoHow mkuu?
Ni kati ya mamembers ninaotamani kukutana nao maana ni mtu mwenye uelewa wa mambo mengi sana.
Personally namkubari sana sema sijui yuko wapi maana sioni comments zake siku hizi.
shishi ameshawahiwa na uchebe, jide anakiben ten chake kutoka Nigeria, riyama naye anacho cha kwake.....kiufupi wengi wameshajipatia viben ten vyao...labda umjaribu dida shaibu umuoe ndoa ya saba sijui ya nane...Soon namuowa shishi tramp