Leo Tena clouds, Dogo janja kufunguka yote

shishi ameshawahiwa na uchebe, jide anakiben ten chake kutoka Nigeria, riyama naye anacho cha kwake.....kiufupi wengi wameshajipatia viben ten vyao...labda umjaribu dida shaibu umuoe ndoa ya saba sijui ya nane...
Kwa hiyo saiv viben ten ni dili. [emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mbavu zangu
 
shishi ameshawahiwa na uchebe, jide anakiben ten chake kutoka Nigeria, riyama naye anacho cha kwake.....kiufupi wengi wameshajipatia viben ten vyao...labda umjaribu dida shaibu umuoe ndoa ya saba sijui ya nane...
Aitheee Hii Kali
 
Entourage ya dogo Janja tayari tumetia timu hapa Clouds FM, mimi nikiwa kama mpiga picha wa dogo Janja sasa hivi tunasaini kitabu cha wageni tayari kuingia kwenye kipindi.
Kaa hapa hapa kwa updates zote

😱
Mmmh leo umekataliwa kuingia ulibeba mtutu niniπŸ˜€ na saini hukujua kuandika maana hadi sasa hakuna updates πŸ˜‰
 
Kwakweli wanawake hatuna aibu. Huwezi kuwa ushamiliki vitu virefu ukaanza kukalalia kadogo kako. Kembamba kama tambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…