Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Nipo na deepseek
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Deepseek itapambana sana lakini kamwe haiwezi kuipiku chatGptNipo na deepseekView attachment 3220981
Haitaki uikorofisheUkiisumbua sana itwambia "Server is busy"
IshaipikuDeepseek itapambana sana lakini kamwe haiwezi kuipiku chatGpt
na censorship na limit ya hii chat boxUnasumbuana na Computer?
Haiwezi tokea...Ni vile tu ni mpya sasa lazima ipate upakuaji mwingi watu waijaribu.Ishaipiku
Ni open source, ukiirun kwa servers za china lazima ukutane na censorship. Kqa kuwa ni open source irun kwenye pc yako edit code ifanye unachotaka.Nipo na deepseekView attachment 3220981
Ni kitu gani hii mkuu wengine tuko mabonde kuinama hukuNipo na deepseek
Hii ni akili bandia kama Chat GPT ! tofauti yake hii imetengenezwa chinaNi kitu gani hii mkuu wengine tuko mabonde kuinama huku
yaah
Hii ni akili bandia kama Chat GPT ! tofauti yake hii imetengenezwa china
unaweza kuidownload ukaiuliza maswali
🤣🤣🤣🤣Huku ni kukosa kazi ya kufanya..Nipo na deepseekView attachment 3220981
Dogo acha porojo jamvin lala wewee kesho uwahi shule.🤣🤣🤣🤣Huku ni kukosa kazi ya kufanya..
Uko sawa weekend ishaisha hiyoDogo acha porojo jamvin lala wewee kesho uwahi shule.