Leo tena Yesu amenitendea muujiza mkubwa!

Amen
 
Ukimpata mwanaume wa kukukaza vizuri mbona unapona kabisa, enyi wagalatia mshughulikieni huyu kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Ukimpata Yesu moyoni mwako mbona utapona kabisa kiroho. Enyi Wainjilisti mhubirieni kwa nguvu huyu aokoke kabla hali yake ya kiroho haijawa mbaya zaidi.
 
yeye Tu kilasiku
Yesu anawatendea miujiza watu wengi, lakini wanaokumbuka kumrudishia sifa Yesu ni wachache. Si unakumbuka habari ya wale wenye ukoma kumi aliowaponya Yesu? Ni mmoja tu aliyerudi kumshukuru Yesu (Luka 17:11–19.)
 
Why this works for you and for me, why?
Because the efficacy of divine intervention is neither arbitrary nor coincidental; it is the outworking of unwavering faith in Christ, whose power transcends circumstance and whose grace is impartial yet personal to all who believe.
 
Daah hapo kipengele
 
Hapo kipengele sana as niko Ktk situation ambayo sihitajiki kuzimu na mbinguni pia.
 
Hapo kipengele sana as niko Ktk situation ambayo sihitajiki kuzimu na mbinguni pia.
Tafadhali fafanua vizuri situation yako. Sijaelewa unaposema huhitajiki kuzimu na mbinguni??!!
 
Namshukuru Mungu nimepona bure kwa Jina la Yesu, bila kuingia gharama ya kulipia vipimo hivyo na madawa!

Miujiza kama hii ni vigumu kuiona maishani mwako kama huamini kuwa Yesu ni Mungu, Mtenda miujiza.
Wametulia hao minyoo kwa muda tu subiri wakianza kupiga kazi kwenye Ubongo
 
Wametulia hao minyoo kwa muda tu subiri wakianza kupiga kazi kwenye Ubongo
Jina la Yesu lina nguvu kubwa sana ndugu. Yesu akiponya, anaponya complete. Sio kama waganga wa kinyeji wanaotuliza tu mashetani halafu baadaye yanaamka tena.
By the way, Yesu ni Mungu, ndiye aliyeumba ubongo. Aliyeumba ubongo anashindwa kuwatoa minyoo wakiingia kwenye ubongo?
 
Una ugonjwa wa akili psychiatrist yoyote ange kutibu sio mythical person who is supposed to have lived two thousand years ago
 
Wameshaingia kwenye Ubongo au bado?
 
Una ugonjwa wa akili psychiatrist yoyote ange kutibu sio mythical person who is supposed to have lived two thousand years ago
Yesu ni zaidi ya psychiatrists. Psychiatrists wanakufa na kuoza. Yesu alikufa akafufuka. Yuko hai hata leo. Anaendelea kutenda miujiza kwa kila aaminiye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…