Leo tuambie parking yako umepaki gari gani

mshimboka

Member
Joined
Jun 13, 2026
Posts
64
Reaction score
131
Leo baada ya kupokea simu kutoka kwa waziri kuwa baada ya mwezi mmoja atakua na mgeni wake kutoka ughaibuni na ni msanii mkubwa na hivyo anahitaji gari zenye thamani ya kuendana na msanii

Kwahiyo mh waziri anahitaji gari zangu kwa ajili ya mapokezi na mizunguko ya mgeni wake nami nimemkubalia kua nitampatia gari nne anazohitaji

Nami nimekuja kwenu na wazo hili kwa Wana jamii forums wenzaku Leo tuambie umepark gari gani nyumbani

Naanza mi kutaja gari nilizonazo kwenye parking yangu hapa nyumbani kwangu oyster bey

Bentley continental gt
Bentley flying spur
Ferrari purosangue
Range Rover sport edition
Chevrolet Corvette
Bmw i8
Kia Sportage
Hyundai Santa Fe
 
 
Nimepark ndotoni tu lakini reality hakuna hata starlet ya kuzugia
 
Ungesindikiza na picha ya parking yako hapo Oysterbay ingependeza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…