Wakuu
Kumekucha sasa ninyi ndio wa kuamua tujadili kipi kwa muda huu kabla ya kifungua kinywa.
Mkisema tuwajadili CCM au tuwajadili CHADEMA au tuguse kidogo chama cha Hashimu Rungwe ni sawa tu.
Kama mtaamua tumjadili Mbowe, Lissu, au Samia ni ninyi ndio mseme maana yote yanawezekana hapa jukwaani kuna wataalamu wa kila kitu.
Mkiamua tumjadili Haji Manara, au tuzijadili Yanga na Simba kwenye usajiri huko kuna wataalamu wake.
Mkisema tujadili mambo ya kilimo huko chasha farming yupo hakitoharibika kitu na kama mkisema tuwaponde wasanii wa bongo movie au bongo fleva ni sawa tu.
Ukiwa Mtanzania lazima upate cha kujadili maana mambo ni mengi, mkitaka tujadili kula tunda kimasihara au wale wasiotaka kuoa wala hakuna neno yaani hakishindikani kitu.
Kwa ufupi hayo ndio maisha ya Watanzania lazima chochote kijadiliwe.
Mkitaka tuwajadili walokole, wasabato, waislamu au wapagani mseme ni chaguo lenu tu.
HAPPY MASHUJAA DAY, leo tuungane kuwakumbuka mashujaa wetu walioitumikia nchi kwa jasho na damu wapumzike kwa amani mashujaa wetu.