Anza wewe ili tuone yako.Hebu leo tufanye hii challenge kwa wote mnaosema kuwa urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo...mtumie msg best friend wako muambie
"kwanini mpaka leo hatujawahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi"
Halafu tupe mrejesho wa screenshot
Ngoja niongee na wakili wangu kwanza.....[emoji125][emoji125][emoji125]
hahahaha nimekuwakilisha mzee naona umechelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahhh
Kafunga PM??Haya Fungua pm sasa tucheze
Mbingu utaiona kwenye katuni..... hahahahahaNimemtumia huo ujumbe mama mchungaji, hadi sasa hivi hajajibu nahisi bado yupo ibadani...
Nimemtumia huo ujumbe mama mchungaji, hadi sasa hivi hajajibu nahisi bado yupo ibadani...