Leo tucheze mchezo huu

Aaaah! Haya mambo mengine sio🤣🤣🤣
Upewe jibu konki akili zikukae sawa.
Akili zangu nazijua mimi, unaweza kunitukana badala ya kukuchukia ndio kwanza nacheeka kwa furaha...then nakurudia kukwambia nakupenda hadi naumwa😂😂😂😂
Utachoka mwenyewe
 
Sio pesa, anavutia?
Anajielewa?
Anaweza kunifanya mwenye furaha?
kwa umri wangu nimevuka kufunua ilimradi sketi...ukiona nimekodolea mahali ujue kuna kitu zaidi ya kitu😂😂
Yaani ni full package huyo.

Ila dogo upewe furaha wewe nani yaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…