Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

Inaonyesha hiyo nyumba wapangaji wote ni waswahili na mnaishi tandale au buza[emoji23][emoji23][emoji23]
Yan kuanzia mama houss mpka wapangaji ni micharuko, wanarudi muda wanaotaka alafu nyumba geti la bati choo cha ghorofa afu mvua ikinyesha wanatapissha choo kama sinza
 
Hiyo tabia ya kuchukua kitu moja kwa moja alikuwa nayo pia yule dada Chakorii wa chumba cha pili,siku hizi akija kuomba kitu huwa simpi

Hebu nilifuate hilo chanuo kwa financial services
Mtoto Chakorii kicheche sana yani..Sema mie ananikaziaga kama gundu kmmmk jana tu kaja na baharia yule mwamba mwenye primio. Sema nini man Jafe, mi ntaishi nae tu ngoja leo nikamuombe movie rum kwake.
 
Aisee, nimeshtukia kwamba kuna mwenzetu halipishwi kodi, tena hata zamu yake ya kununua umeme ananunua mama mwenye nyumba.
Ni mimi jamani muda si mrefu ntakuwa baba mwenye nyumba ,tuko kwenye maandalizi ya Harusi naombeni mchango wenu wa hali na mali
 
Mi naona kila mtu awe na mita yake jamani, hatuwezi kuendelea kuumizana namna hii mie nachaji simu tu ila umeme nichangie 5000 kila baada ya siku 4? Af hii system ya umeme lazma ichunguzwe.

Wengine mna mablenda na mafriji lazma mchangie zaidi.
 
Wee hamnitishi yule jirani fatuma ni rafiki yangu pia! Majirani gani mna gubu kama nimewaibia mabwana zenu halooo[emoji57]
@financial services hv jirani naweza kuongea na wewe baadae kama hutojali, kwenye mida yaa jioni hvi ,nikirudi baadae ,samahani kwa usumbufu lakini ,sasa sijui tutaongelea chumbani kwako au kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…