Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

Oyaa, siku ya wajinga inakaribia. Yale mambo ya kuzinguana kama mwaka jana myaache kabisa. Wengine presha zetu ziko karibu.
 
Jirani heri ya Pasaka, leo usipike mchana nitakuletea chakula na kinywaji.
 
Demu wako Jana kagonga sana mlango usiku ukawa umelala nkaona alale tu kwangu. Ashaondoka lakini kasema atakuja leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…