Mama acha ukudaaa...kuna mtu alizikwa na nyumbaa!!!hahaaaaNyie wapangaji wa kiume mbona mnabadilisha sana wanawake
Ndio maana huwa sipendi wapangaji ambao hawana familia hapa kwangu kwa nini usitafute mwanamke mmoja ukatulia nae
Mkataba wenu kila mmoja ukiisha siwahitaji hapa kwangu
Leo ngoja tumkatie nyaya asizogoe hapa!!Huyu mshenz ikifika zam yake kununua umeme anajifanya kuchelewa kurudi
Sipo nna dharura naenda mkoleni Msangaa!!!Ndugu mpangaji..jumapili jioni kutakuwa na kikao cha wapangaji wote
Unakichaa weww alfu ndio mana demu wako. Juma analalaga nae sababu ya ujinga kama wako, sasa umefaidika na nini na ukute hata ujafanikiwaDemu wako Jana kagonga sana mlango usiku ukawa umelala nkaona alale tu kwangu. Ashaondoka lakini kasema atakuja leo.
Sasa ukisema hvyo na yule jamaa wa chumba cha pili toka kwako naye atadai tusimuhusishe kwenye bili za maji maana huwa anakula kwa mama n'tile na kuoga mara mbili kwa wiki, sijawai ona akifua toka ahamie hapaMbona Hatuelewani??
Nishawaambia mimi kwenye mambo ya mchango wa Bili ya Umeme msinihusishe kabisa,
Mi shughuli zangu hazihitaji kunyoosha kila siku, Jinzi moja navaa siku tatu nafanya kubadili tu tshirt, nayo inanyookea mwilini.
Nikiamka asubuhi kurudi usiku mkali,
Gheton sina TV, Radio wala Friji,
Kama ni taa ya Koridor napopita wakati narud ndio mnaona nafaidi basi muwe mnaizima nikiwa narudi
Kimsingi siwezi kuchanga bili sawa na nyinyi, hata nikifunga kisoma mita kitakua kinasoma zero tu wiki nzima. Maji natumia kuogea tu asubuhi, dumu moja kubwa naoga mara mbili au hata tatu samtaim.Sasa ukisema hvyo na yule jamaa wa chumba cha pili toka kwako naye atadai tusimuhusishe kwenye bili za maji maana huwa anakula kwa mama n'tile na kuoga mara mbili kwa wiki, sijawai ona akifua toka ahamie hapa
Wewe unataka kuleta utata usio na msingi ungekuwa unataka kukaa nyumba isiyo na umeme huku ulikuja kufanyaje kwenye chumba cha umeme si ungeomba upangishwe stoo kule hakuna umeme, lazima uchangie maana unautumia kuchajia simuMbona Hatuelewani??
Nishawaambia mimi kwenye mambo ya mchango wa Bili ya Umeme msinihusishe kabisa,
Mi shughuli zangu hazihitaji kunyoosha kila siku, Jinzi moja navaa siku tatu nafanya kubadili tu tshirt, nayo inanyookea mwilini.
Nikiamka asubuhi kurudi usiku mkali,
Gheton sina TV, Radio wala Friji,
Kama ni taa ya Koridor napopita wakati narud ndio mnaona nafaidi basi muwe mnaizima nikiwa narudi
Hivi simu kama nampa mangi tzs 200/= pale kibandani anichajie na anapata faida si labda gharama yake pale haifiki hata TZS 100/=?? Na simu yangu ni kitochi chaji siku 3 au 4, kwa mwezi haizidi hata mara 10 nachaji labda hapo ukizidisha ni kama natumia umeme haufiki hat wa buku kwa mwezi kwenye kuchaji tu.Wewe unataka kuleta utata usio na msingi ungekuwa unataka kukaa nyumba isiyo na umeme huku ulikuja kufanyaje kwenye chumba cha umeme si ungeomba upangishwe stoo kule hakuna umeme, lazima uchangie maana unautumia kuchajia simu
Hamia stoo wewe muha, watu wabishi kama nini, ndiyo maana hata biashara yako ya umachinga haiendelei.Hivi simu kama nampa mangi tzs 200/= pale kibandani anichajie na anapata faida si labda gharama yake pale haifiki hata TZS 100/=?? Na simu yangu ni kitochi chaji siku 3 au 4, kwa mwezi haizidi hata mara 10 nachaji labda hapo ukizidisha ni kama natumia umeme haufiki hat wa buku kwa mwezi kwenye kuchaji tu.