Leo tukate mzizi wa fitina: Nani mkali kati ya Young D, Young Killer na Dogo Janja?

NANI MKALI?


  • Total voters
    27
  • Poll closed .
mi namkubali youngkiller kwa sababu young dee ni mkali kuliko wote hivyo dogo janja ndo anakimbiza
 
Unajua maana ya role model? Unajua Young D ameanza mziki lini? Kwa kukusaidia tu Young D ameanza kusikika miaka ya 2006 hivi wakati dogo Janja kasikika mwaka 2011, sasa iweje huyu wa 2011 awe role model wa huyu wa 2006?


Ma alosto tu wote hao. Lete poll ya wanamuziki wa ukweli.
 
Young D ana swagger za kisuperstar anawakimbiza hata mastar wakubwa tu hapa bongo flow yenye ladha ngoma kali

Young killer ni mwandishi mzuri sana

Dogo janja ni msoma ramani ameweza kulisoma soko na management nzuri so sokoni anakimbiza kiki za social media na back up ya Madee huko huko kwenye social media
 
Naona kama umeshafunga mjadara.. Umefafanua vizuri kabisa..
 
Kipato - Dogo Janja

Ngoma kali - Dogo Janja / Young D

Kupendeza -Young D

kumiliki jukwaa - non of above

muonekano wa kistar - Young D
Sijajua ni mchambuzi wa nini ila kwa ufafanuzi wako nahakika sio mchambuzi wa sanaa ya muziki.. Baki kwny fani yko
Mzee wa sinaga swaga kabisaaaa yani young killer mwanza mwanza a.k.a msodoki anatisha uyu jamaaa
 
Young killer ni malaika acheni kumulinganisha na hao vichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…