Leo Tukisikia Gori Mahia wamepigwa 10 tusishangae

nasikia mashabiki wa Gor wanajipoza kwa kusema eti kama PSG kapigwa 5 kwa 1 na wao wamepigwa kipigo icho icho si ni sawa sawa tu wajiifananishe na PSG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…