LEO TUKUMBUSHUNE SEKONDARI WALE MABAUNSA WATUKUTU

LEO TUKUMBUSHUNE SEKONDARI WALE MABAUNSA WATUKUTU

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
1,503
Reaction score
2,426
Kwangu jamaa alikua anaitwa fadhili alikua form 4 wakati huo nipo form 1 ilikua kila asubuhi lazima tumpe shikamoo mida ya asembo alikua akienda kutoa morning speech kwa utani sasa form one tukawa tunachexka sana ikifika usiku apalaliki mwendo wa bakora tu siku za j5 akivua uniform fasta unawai yako kwenda kumfulia kupga brash viatu na kumchotea maji wale walio kosa ilikua unakula bakora tatu then anakwambia siku nyingine kua wa kwanza kuna alifanyaga matukio mengi sana mwisho alifukuzwa akaja Fanya mtihani tu namkumbuka sana jamaa
 
Back
Top Bottom