Leo tulifafanue Kiundani neno "RAFIKI"....

Leo tulifafanue Kiundani neno "RAFIKI"....

Kiokotee

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,675
Reaction score
2,211
Hakuna Asiyejua hili Neno kila mtu analifahamu na tunalitumia Kila siku na Tunaishi Nalo na Lipo kwenye maisha yetu ya Kila siku.

Ulishajiuliza ni kwa nini Facebook wamelichagua neno hili na si Vinginevyo(Yaani Neno "Add Friends") Kwa nn wasiseme add sister,Add mumy add Uncle n.k?

Hii ina maana ya Kwamba neno Friend Ni very Common tena Hasa ingawa tunalichukulia poa sana.
Naanza kama Ifuatavyo:

Watu wanaokuzunguka katika maisha ya kila siku Haijalishi Ni Ndugu yako,Mfanyakazi mwenzako,Mke wako hata wazazi Ikibidi....Rafiki Ni zaidi ya Wote hao.

Sio kwa vile mtu mnafanya kazi Pamoja basi lazima awe Rafiki yako hapana narudia tena Hapana ,hapana Baada ya kazi Kile mtu Achukue Hamsini Zake Aende kwa Marafiki zake wakayajenge Hii inawacoast watu wengi sana,Kumbuka Ili Mtu Awe Rafiki Yako Kuna Mambo mengi ya Kuzingatia(Ndege wafananao Huruka Pamoja).

Je,Wewe Neno Rafiki Unalichuliaje?
 
Hata kwenye familia kuna baadhi mnakua marafiki (unaweza kumuelezea shida zako za ndani kabisa).
 
Kamusi inaelezaje hilo neno?
Endelea kutumia kamusi Ila Hakuna Kamusi mpya ni ileile Tangu.Marafiki wa sasa sio wa miaka ile.Wakati ule Ilikuwa poa tu Kumuacha rafiki yako na Mke wako Mwaka mzima na ukamkuta salama,Lakini sasa Utamkuta analea Uncle wako!
 
Miaka ipi hio Mkuu...?
 
Back
Top Bottom