Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nashukuru kuwa leo tena kipigo. Watu waelewe mpira si uhamasishaji. Ni uwekezaji serious. Team ilipaswa ikae kambini ijiandae. Ilipaswa iendeshwa na wataalamu siyo wanasiasa.
Sasa na michezaji nayo imekaa kibwege bwege kama mitaahira. Chezaji limetoka kufungwa linamshukuru rahisi. Kama li below dog tu. Na wanasiasa wanajazana kutoa mawaidha kwa team badala ya kocha kufanya hivyo.
Haya mkahamasishe sasa na leo... Halafu on target ziwe zero. Kipa wa Morocco siku ile alikuwa very bored. Anasoma tu gazeti.