Leo tunafunga rasmi mjadala kwa Kukubaliana kuwa ni kweli kabisa Wanawake wote Kipaumbele chao kwa Wanaume ni Pesa na Maisha mazuri na siyo Mengineyo

alikuwa mfanyakazi wa Redio Berlin baadae kutokua na kazi kukamfanya akose mke!Genta embu fafanua hapa kijana wangu
 
Zemanda Natafuta Ajira Deleted01 bila uwepo wenu uzi huu bado ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Asante sana kwa kunialika hapa.

Wanachoangalia wanawake ni hela. Kwa ajiri ya pesa wanawake wanaweza kufanya chochote.Kwa ajiri ya pesa mwanamke anaweza akavumilia chochote.

M-cheat atamlaumu mchepuko wako, mpige atavumilia, mwambie mchepuko wako ana mimba atajiliza liza lakini hawezi kukuacha. Ukiwa na pesa mwanamke yupo tayari kuwa mtumwa wako. Women make rules for the broke and break rules for rich guys

Wanawake wote ni makahaba, wanajiuza na wananunulika ni suala la mwanaume kumudu bei tu.
 

Lakini Imeandikwa โ€œ fedha na mali mtu hurithi toka kwa baba yakeโ€

Na sio kwa mumewe .

Mambo ya tamaa za fedha na mali kutoka kwa Mwanaume wanayatoa wapi ?

Wanawaza kugawana fedha na mali pasu to pasu ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Cha mwenzio cha mwenzio tu , kila mtu ale kwa jasho lake.
Ndio maana huwatokea puani wengine ๐Ÿ˜†

Labda ukute Mwanaume fala umroge nae awe amejibweteka bila kujisaidia.
 

Mapenzi au kuolewa sio ajira.
Tubadili mindset zetu.
 

Kusudi la mwanamke kuzaliwa Duniani sio kuolewa pekee.
Hiyo ni sehemu ndogo sana kama tone katika bahari.
Tangu enzi za mababu hata vitabu vitakatifu mwanamke na Mwanaume wameumbiwa kufanya kazi na kuzalisha mali.
Na sio ngono tu.
 

Mapenzi ni kama kula ,
Je utasema kula ni kazi?
 
Jipigie makofi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Hii comment yako iwekwe pinned ๐Ÿ“Œ kila kiumbe kinachopumua kisome.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ