Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
MABIBI NA MABWANA!
WAPWAAZ NA MA-BINAMUUUZ............
kwa heshima na taadhima ninaomba KWA PAMOJA TUITAMBUE SEND-OFF PARTY ya mkuu MSINDIMA huko ARUSHA!...INAYOFANYIKA LEO HII...!hapa ninapoirusha hii sredi nipo ARUSHA(pretta na lily-flower naomba msinitafute,niko bize sana).Kuna baridi kiaina lakini HABARI NDIO HIYO!
KWA NIABA YA JAMIIFORUMS,kwa niaba ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi(DAR ES SALAAM BRANCH ndugu x-pin),kwa niaba ya wapwaaaz wote,kwa niaba yenu mnaosoma...
NIPO HAPA KUMTAKIA KILA LA KHERI mam'aa la MSINDIMA!naona mama amejipanga sawasawa na ameamua kuachana na biashara ya ''kula baa''
KWA YEYOTE MWENYE MAPENZI MEMA!naomba anipiemu nimpe namba za msindima amtakie kila lililo jema!(michango inaendelea!hapa askofu lazima akimbie.
BASI TENA WADAU NAOMBA NIRUDI UKUMBINI kuendelea na maandalizi zaidi
HONGERA SANA MSINDIMA!
NAMALIZIA KWA TAFAKARI YA LEO INAYOSEMA:ukikubali kuolewa.........