Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Watu wamekuwa very hysterical kuhusu hili suala la Bandari: wanasema nchi itaangamia, nchi itakufa. Lakini leo Jaji anakwenda kuwaondoa watu wasiwasi.
Tuna imani na Samia. Twende na Samia katika hili. Rais huyu ana nia njema.
Binadamu anatakiwa kuwa na imani; na siyo kuogopa kila jani kavu linalopeperushwa na upepo.
Rais ndiye mwamuzi wa mwisho katika nchi yetu. Na juu ya kila kitu yupo Mungu.
Tukijadili mambo lazima tufikie maamuzi. Hatuwezi kunyoosha mikono na kusema tatizo limetushinda.
Tutazame pros and cons, tufanye maamuzi,tusikwame hapa,maisha yaendelee.
Tumtangulize Mungu mbele,alikuwa anatuambia Magufuli kila siku.