Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Siziamini mahakama za tzMay the public win
Tunamshukuru Mungu hatutekwi tena naKwa kuwa hili swala la bandari limevamiwa na wanasiasa pinga pinga ambao ndio wale wale waliokuwa wanapinga mazuri ya JPM naamini kabisa Mh Rais anania njema kabisa.
Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria na siyo nia njema ya mtu!Watu wamekuwa very hysterical kuhusu hili swala la Bandari: wanasema nchi itaangamia,nchi itakufa. Lakini leo Jaji anakwenda kuwaondoa watu wasiwasi.
Tuna imani na Samia. Twende na Samia katika hili. Rais huyu ana nia njema.
Binadamu anatakiwa kuwa na imani; na siyo kuogopa kila jani kavu linalopeperushwa na upepo.
Rais ndiye mwamuzi wa mwisho katika nchi yetu. Na juu ya kila kitu yupo Mungu.
Tukijadili mambo lazima tufikie maamuzi. Hatuwezi kunyoosha mikono na kusema tatizo limetushinda. Tutazame pros and cons,tufanye maamuzi,tusikwame hapa,maisha yaendelee.
Tumtangulize Mungu mbele,alikuwa anatuambia Magufuli kila siku.
Hongera Mkuu kwa kula Maharage ya Mbeya na baridi hiiTunaisubiri kwa hamu, tena wengine tumekuja kabisa Mbeya tukijilia zetu maharage ya Mbeya. Kusema ukweli Mbeya pazuri!.
P
Ha ha haaa!!Tunaisubiri kwa hamu, tena wengine tumekuja kabisa Mbeya tukijilia zetu maharage ya Mbeya. Kusema ukweli Mbeya pazuri!.
P
🤣🤣🤣🤣Tunaisubiri kwa hamu, tena wengine tumekuja kabisa Mbeya tukijilia zetu maharage ya Mbeya. Kusema ukweli Mbeya pazuri!.
P