Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Kafie UkoUkizoea mapage ya fb kama habari na simulizi za kusisimua kila mara unapgishwa kura bas unadhan na jf ndio hao hao,,,huku ni tofauti sana mkuu,,mambo ya fb yanabaki kule kule
Leo naombeni tupige kura wadau wote wa jf.
Hivi kati ya maji(mvua) na moto(jua) kipi ni muhimu sana binafsi naona ni moto au jua sababu unatoa nuru na nishati ulumwenguni pia moto(jua) unatupa joto na kufanya viumbe hai hasa mimea kuweza kustawi.
Pia jua linakausha mazao na kutupikia chakula.
Je wewe mwenzangu na mimi una maoni gani kati ya mvua(maji) na jua(moto) kipi bora kuliko?
Hahahaha we kiboko imewahi kunitokea wakati nipo safariniUkitaka ujue umuhimu wa Maji kwa Binadamu siku bahatisha ukutane na ' Mbunye ' uliyoikoteza huko halafu unapoanza ' kuibandua ' tu unakuta inatema ( inanuka ) balaa na ukitaka kwenda kunawa unagundua maji hayapo au mgao wa siku 3 umeanza halafu hapo hapo kwa Upopoma wako uliotukuka hukukumbuka kuweka maji ya akiba ndipo utajuta kuzaliwa na kutambua kuwa kosa yote duniani ila siyo maji.
Shikamoo maji!!!!!!!
Kafie mbali na wako wasijue ulipo, hi ni chitchat punguza ujuajihivi watanzania kweli tuna muda wa kujadili vitu kama hivi ??
Hahahaha we kiboko imewahi kunitokea wakati nipo safarini