Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #101
Ume kumbuk wapi uko πMkate mzuri sana
Hapo kwenye maumbo πππnimekumbuka mbali π
Nina jaribu mkuuAiseeeh!! kijana unaweza kweli kweli.
Safi,lini nifike na familia kuonja mapishi?Nina jaribu mkuu
Wewe tu nipe taarifa siku mbili kablaSafi,lini nifike na familia kuonja mapishi?
hahah sasa na wew ulivitaka vikubwaNilikuwa napika vishet nikatwngeneza umbo la moja vikiumuka sasa π π mama akasema sitaki maumbo gani kma viboroπππ
Basi inatosha, naona umefika mbali sana πππmama akasema sitaki maumbo gani kma viboroπππ
πππBasi inatosha, naona umefika mbali sana πππ
Ndio na vikiumuka sasaπakasma kata shape ya vinane ππhahah sasa na wew ulivitaka vikubwa