OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
anhaa una roho ya uvumilivu sana kwa Arsenal [emoji1][emoji2]Nimekupata Mkuu huo ni mchepuko wangu lakini mapenzi yako Emirates kwa Arsenal.
anhaa una roho ya uvumilivu sana kwa Arsenal [emoji1][emoji2]
Alipaki basi kasahau kufunga vioonasikia Mourinho lile train alilolipaki kule Liverpool alisahau kule kwa kuzidiwa na furaha baada ya "kufanikiwa" kuambulia sare ya 0-0!
We acha tu Mkuu! Ila nadhani msimu huu unaweza kuwa wa mwisho kwa machungu.
tusubirie huenda labda mkuuWe acha tu Mkuu! Ila nadhani msimu huu unaweza kuwa wa mwisho kwa machungu.
Mkuu unamaanisha utahama timu?
Sio ukuta?Kweli mkuu kitaa kumepoa...Maniyuu kashikishwa adabu
Hapana Mkuu ila kama timu haitakuwemo kwenye tatu bora kitu ambacho sioni kutokea mashabiki korofi watafanya varangati la nguvu kuhakikisha babu wenger harudi Emirates.
Washabiki wa Arsenal wanalalamika mwishoni mwa ligi, preseason ikiianza mkashinda Emirates Cup mnasahau.
OhoooSio ukuta?
Bamefungwa na Batoto, ndoo bamepanda Daraja.
Bamefunga Mudomo leo.
Unafanya mchezo timu kubwa kufungwa?Mmeamua kufungua na uzi[emoji3][emoji3]
Niunge mkono Totenham bingwa.Nimekupata Mkuu huo ni mchepuko wangu lakini mapenzi yako Emirates kwa Arsenal.
Hapana Mkuu hakuna anayetaka hayo makombe uchwara yasiyo na hadhi watu wanalalamika sana lakini wale Wamarekani wameweka mbele ngawira badala ya timu kufanya vizuri na kuwa tishio UK, Europe na Duniani kite.