Leo tutegemee saa 24 bila umeme Dar es Salaam

Leo tutegemee saa 24 bila umeme Dar es Salaam

Hii itakuwa ni historia. Tena bila taarifa kutoka TANESCO.
Tulieni dawa iingie mlimtukana mno baba yangu, mungu kamchukua
Screenshot_2023_0918_185800.jpg
 
Bunju hapa ni giza tu. Nafikiri kwenye nishati kuna hujuma zinazotaka uzalendo mzito kuushinda.
 
Baadhi haswa maeneo yetu umerudi muda huu saa 2 kamili usiku, tokea saa mbili asubuhi
 
Back
Top Bottom