Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
NdigwakeDondosha jina la kinyakyusa unalolifahamu.
Naanza Gwakisa, endelea
Mwambukusiyule wakili simkumbuki jina lake, yule jamaa kwasasa anawabeba wanyakyusa.
yule wakili simkumbuki jina lake, yule jamaa kwasasa anawabeba wanyakyusa.
MwakitapileDondosha jina la kinyakyusa unalolifahamu.
Naanza Gwakisa, endelea
Muwe mnataja na maana zake sasaTuntufye