BabuKijiko
Member
- May 3, 2024
- 24
- 38
Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025.
Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi?
Kumbuka Manara leo anaweka rekodi mpya ya kutambulisha wachezaji na sio kama yule mpiga debe wao wa makolo.
Nyie Hamuogopi!
Soma pia: Siku ya Wananchi 2024: Yanga vs Red Arrows | Mkapa Stadium | 04/08/2024