BabuKijiko Member Joined May 3, 2024 Posts 24 Reaction score 38 Aug 4, 2024 #1 Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025. Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi? Kumbuka Manara leo anaweka rekodi mpya ya kutambulisha wachezaji na sio kama yule mpiga debe wao wa makolo. Nyie Hamuogopi! Soma pia: Siku ya Wananchi 2024: Yanga vs Red Arrows | Mkapa Stadium | 04/08/2024
Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025. Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi? Kumbuka Manara leo anaweka rekodi mpya ya kutambulisha wachezaji na sio kama yule mpiga debe wao wa makolo. Nyie Hamuogopi! Soma pia: Siku ya Wananchi 2024: Yanga vs Red Arrows | Mkapa Stadium | 04/08/2024
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Aug 4, 2024 #2 Mimi nitakuwa nyumbani na familia.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Aug 4, 2024 #3 Leo sitoki nakaa humu humu kupata updates
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Aug 4, 2024 #4 BabuKijiko said: View attachment 3061104 Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025. Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi? Kumbuka Manara leo anaweka rekodi mpya ya kutambulisha wachezaji na sio kama yule mpiga debe wao wa makolo. Nyie Hamuogopi! Soma pia: Siku ya Wananchi 2024: Yanga vs Red Arrows | Mkapa Stadium | 04/08/2024 Click to expand... Lupaso.
BabuKijiko said: View attachment 3061104 Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025. Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi? Kumbuka Manara leo anaweka rekodi mpya ya kutambulisha wachezaji na sio kama yule mpiga debe wao wa makolo. Nyie Hamuogopi! Soma pia: Siku ya Wananchi 2024: Yanga vs Red Arrows | Mkapa Stadium | 04/08/2024 Click to expand... Lupaso.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Aug 4, 2024 #5 Pande za Iringa Mount royal....Yanga mbele daima nyuma mwiko
Artificial Horizon JF-Expert Member Joined Jul 31, 2019 Posts 432 Reaction score 977 Aug 4, 2024 #6 Kibanda umiza
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Aug 4, 2024 #7 BabuKijiko said: View attachment 3061104 Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025. Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi? Kumbuka Manara leo anaweka rekodi mpya ya kutambulisha wachezaji na sio kama yule mpiga debe wao wa makolo. Nyie Hamuogopi! Soma pia: Siku ya Wananchi 2024: Yanga vs Red Arrows | Mkapa Stadium | 04/08/2024 Click to expand...
BabuKijiko said: View attachment 3061104 Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025. Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi? Kumbuka Manara leo anaweka rekodi mpya ya kutambulisha wachezaji na sio kama yule mpiga debe wao wa makolo. Nyie Hamuogopi! Soma pia: Siku ya Wananchi 2024: Yanga vs Red Arrows | Mkapa Stadium | 04/08/2024 Click to expand...