Mkuu Nziku, Unapotosha kabisa dhana ya mbunge kuleta maendeleo au kusukuma maendeleo kwenye jimbo lake. Haina maana yeye ndiye anaamua nini cha kufanya au yeye ndio anatoa resources za kufanya hayo maendeleo yatokee. Mbunge ndio kiongozi aliyechaguliwa na wananchi ili awasaidie kutatua...