Leo wachambuzi wa michongo wanamwandama coach wa Prisons wakati ma coach wetu wengi ndio lugha zao hizo

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Imekuwa ajabu kwa wachambuzi wa michongo leo kumwandama mwalimu wa timu hasa aliposema yanga ni timu ya kawaida sana.
Nawashangaa sana kwa kuwa hata Simba iliyofanya vizuri kimataifa mwaka jana ikiwa na Luis na Chama,hao hao makocha walisema ni timu ya kawaida yenye wazee wengi.

Hawakuishia hapo walimdharau mchezaji kama Luis na Chama kwa kuwa timu zao ziliipa ushindani mkubwa Simba.

Wakati wakifanya hivyo,ni waandishi hawa hawa waliwaunga mkono na kujaribu kuwaaminisha watu kuwa Simba inabebwa tu.Hata pamoja na kufanya vizuri kimataifa,waandishi hawa hawa walitafuta sababu ya uchambuzi wao wa kimchongo mchongo eti Simba amefika hapo kwa sababu ya corona.

Hadi Chama na Luis waliposajiliwa kwa mikataba minono,ndipo wakaanza kujidai wanaujua uwezo wa Luis na Chama.

Hii nchi ina watu wa ajabu sana na wanahusika sana kuharibu soka kwa ujinga mwingi wanaoongea mitandaoni.
 
Mkuu hiyo kauli kocha aliitoa kabla ya mechi au baada ya mechi?
 
Makocha wa kibongo wajinga sana ni unprofessional kabisa, ukiwasikiliza Pre na post match analysis wanaongea ugoro kabisa, tutaendelea kuwa na foreign coaches cos Makocha wetu wengi ni viazi sana, kuna yule wa JKT Tanzania, huyu wa Prisons......wanaongea kama wameokotwa majalalani
 
Kabla ya mechi, suala ambalo ni kawaida kwenye mpira.
Kabla ya mechi tambo ni kawaida tu, yaani jamaa kaliletea hadi uzi humu! Na waandishi wa habari nao wanaona hili nalo la kujadili kweli! Wameishiwa vya kujadili.
 
Tanzania haina waandishi wa habari za michezo bali kuna genge la wahuni wenye kuendesha maisha kupitia porojo za mpira.
Na wanajikuta mapro kweli, kazi yao ni kuwahoji mashabiki maandazi wapaka masizi afu wanareport bila aibu.
 
Kabla ya mechi tambo ni kawaida tu, yaani jamaa kaliletea hadi uzi humu! Na waandishi wa habari nao wanaona hili nalo la kujadili kweli! Wameishiwa vya kujadili.
Mkuu yule kocha msaidizi wa Prisons aliongea kauli hiyo kabla ya mechi na hata baada ya mechi pia alikazia kauli yake, kwa kusema magoli waliofungwa ni ya makosa madogo tu na hii timu ya Yanga wanayosema ni timu nzuri ni waongo.

Profesionalism ya ukocha ni lazima utoe heshima kwa mpinzani wako unaecheza nae hata kama ni wa mwisho kwenye msimamo lakini kocha wa Prisons alishindwa kutoa heshima kwa mpinzani wake kama Prof. Nabi alitoa respect japokuwa ni timu ya 3 kutoka mwisho wa msimamo

Press conference n eneo nyeti sana kwa makocha

Mchambuzi wa kwanza kabisa wa mchezo ni kocha anayehusika na mchezo

Wakati tunategemea makocha watoe comment za kiufundi hapa kwetu wengine wanaishia

Tunamshukuru Mungu, mpira una matokeo matatu, plan yetu ilifeli tunajipanga kwa mchezo ujao

Refa hakuwa upande wetu kabisa, marefa wa nchi hii wanachezesha chini ya kiwango

Vijana walitemgeneza nafasi lakini hawakuzitumia

Hii ndio script ya baadhi ya makocha wetu. Hawatoki mbali na hapo

Kama kocha anapata shida kutoa summary ndogo ya mechi basi fahamu kwenye eneo lake kiufundi kuna vitu anapaswa kuongeza

Interview za baadhi ya makocha wetu huwa zinakupa taswira ya nje tu kuwa anapaswa kunoa sana ubora

Sio wote, wapo ambao wapo vizuri. Wanakupa proper Interview iliyoshiba.

Makocha wetu wanapaswa kujiendeleza sana kielimu na kusoma sana mara kwa mara ili kuongeza maarifa wasiishie kutegemea ile kozi anayopata tu
 
"Yanga SC hawana mpira wa kutisha sana, wanaongoza ligi kuu tu ila mpira wao hauna madhara sana. Najutia sana timu yangu kushindwa kutumia nafasi tulizopata vyema" Shaban Kazunba Kocha wa Prisons baada ya kipigo cha goli 2.1

Profesional coach lazima utoe credit kwa mpinzani wako aliekufunga Coz amekuzidi mbinu na ndio maana ameshinda mchezo huo, pia mpira ni mchezo wa makosa na ukifanya makosa hayo unaadhibiwa
 
Inamana ni lazima umsifie mpinzani wako ?
 
total unsportsmanlike from prisons coach..
 
Hatuna makocha, tulionao ni watu wa kuokoteza tu. Mpira ukimalizika na wakifungwa utasikia wakisema, "Mungu hakupenda". Ni watu waswahili waswahili tu, hawana chochote wanachokijua kuhusu mpira.

Hawawezi kutoa post match analysis technically or even tactically, na matokeo yake wanaishia kusingizia eti Mungu hajapenda au eti mpira una matokeo matatu. Bure kabisa.
 
Mkuu umeshasikiliza Interview za kina Sir Alex (mara nyingine anaongea pumba ili kuhamisha mjadala kama timu yake ilikuwa imefanya vibaya)..., au kina Kevin Keegan..., Martin Oneal.., Sometimes The Special One (kubadilisha mjadala), mkuu pumba au ugoro hauna wenyewe kwenye mpira ni jambo la kawaida makocha sometimes wanafanya hivyo kuhamisha mjadala au kuwaondoa kwenye reli wapinzani
 
Wachambuzi wa bongo bana


Mudi anaachaje ela nono ivi awauze tu chama na luis


Baada ya kuuzwa na simba kuanza msimu vibaya.......mudi kazingua sana kuuza key players



Hawa ndio wachambuzi wa bongo
 
Makocha wetu wamezidi, hata hicho unachokisema wewe wala hata hawakijui kubadilisha story, hawa ni sifuri kabisa hawajui chochote
 
Bongo hovyo sn...simba au yanga wanalijua hili ndo mana hawawezi kuwaajiri hawa makocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…