Imekuwa ajabu kwa wachambuzi wa michongo leo kumwandama mwalimu wa timu hasa aliposema yanga ni timu ya kawaida sana.
Nawashangaa sana kwa kuwa hata Simba iliyofanya vizuri kimataifa mwaka jana ikiwa na Luis na Chama,hao hao makocha walisema ni timu ya kawaida yenye wazee wengi.
Hawakuishia hapo walimdharau mchezaji kama Luis na Chama kwa kuwa timu zao ziliipa ushindani mkubwa Simba.
Wakati wakifanya hivyo,ni waandishi hawa hawa waliwaunga mkono na kujaribu kuwaaminisha watu kuwa Simba inabebwa tu.Hata pamoja na kufanya vizuri kimataifa,waandishi hawa hawa walitafuta sababu ya uchambuzi wao wa kimchongo mchongo eti Simba amefika hapo kwa sababu ya corona.
Hadi Chama na Luis waliposajiliwa kwa mikataba minono,ndipo wakaanza kujidai wanaujua uwezo wa Luis na Chama.
Hii nchi ina watu wa ajabu sana na wanahusika sana kuharibu soka kwa ujinga mwingi wanaoongea mitandaoni.