Leo wanawatumia kuandamana kesho watawatumia kwenye ajira, vyuoni na kwenye hospitali

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,880
Ni jana tumeshuhudia wanaojiita wakatoliki feki wakiandamana kuelekea kwa Balozi Mwakilishi wa Baba Mtakatifu Tanzania.

Mungu alivyokua wa Ajabu hata kabla ya Sinema zao kaamua kuwaaibisha, kwa ishara na matendo yao.

Leo walioratibu huo mpango either wanatoka Serikalini au Chama cha Mapinduzi wanawatumia waumini wa madhehebu mengine kuharibu Kanisa Katoliki.

Leo wameanza kuandamana, kesho watahamia kwenye ajira, ajira zitaanza kutolewa kwa vigezo ya udini.

Wewe Mkatoliki una jina lako la Peter ajira utaisikia kwenye Radio.

Keshokutwa watahamia kwenye Elimu, vyuoni, mashuleni, wataanza kusahihisha mitihani kwa vigezo vya udini.

Tuendelee kuicheza hii ngoma mwisho wake utakua mzuri tu.
 
Planning ilishapangwa tokea kipindi cha mkapa kwenye miadhara ilikosa mfia dini tu. Msipo kuwa makini mnaenda kugawa kwa hasira zao. Huku Znz watachota kila aina mali Tanganyika
 
Yaan pale ilibidi wale viongozi wapewe kitimoto roast na ugali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wale.
Ili tuone maajabu mengine.

Maana kuna mdada nimeona kwenye jambo tv amevaa hijab na kafunga ushungi vizur kabisa. Ina maana mkatoliki yule ana uzoefu na ushungi.
 
Wakatoliki wale wanajua nyimbo moja tu ya kikatoliki.
"Mwamba mwamba Yesu ndio mwamba".
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dah
 
Kosa kubwa sana kumpa urais mtu ambaye sio mtanganyika kosa hili lisirudiwe kabisa hao wapuuzi wa zenji udini umewajaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…