Leo wapi wana JF weekend?

Leo wapi wana JF weekend?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wana Jf Leo kiwanja gani sio haba mkaKariibishana

Binafsi ntakuwa origin

Toroka uje Kimara napata kgmoja ya ngrooo grooo NA Eagle ya kupima 500 kwikw

Kuanziia SAA kuminamoja

Njoo NA kianzioo
 
Ha ha haaa hiki nini?? Tuma audio mkuu utaeleweka vizuri Umesema utakua pale toroka uje eh
 
Hapohapo Kimara

Come n ur own risk..usihofu utanikuta njoo nakianzio tu
 
Mimi nipo kwa matei hapa sinza napta île ktu jamaa zetu wanalia gizani
 
Back
Top Bottom