KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,370
- 5,381
Salaam wakuu,
BIla Shaka Leo ndio Ile siku ambayo YANGA inaenda kuandika HISTORIA kubwa katika nchi hii Kwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya KOMBE LA SHIRIKISHO na waTanzania Leo tunaenda kuwa sehemu ya HISTORIA hii.
Najua kuna watu wanaumia Kwa mafanikio ambayo YANGA inaenda kuyapata Leo hii na niwaibie Siri Tu huu ni mwanzo wa mambo mazuri kutoka YANGA na mwaka huu KOMBE LA SHIRIKISHO tunaenda kulileta Tanzania na ninajua kuna watu wanaumia Kwa kuona YANGA inaenda kuandika HISTORIA kubwa kuliko wao ila ninachopenda kuwashauri ni kujifungia chooni na kulia kisirisiri wakati wananchi tukishangilia kuingia hatua ya nusu fainali.
I LOVE U YANGA 💛💚💛💚💛💚