Leo watu wameniangalia sana nikipeleka kitanda kwa fundi kwani mtu hawezi ishi maisha yake kwa amani?

Leo watu wameniangalia sana nikipeleka kitanda kwa fundi kwani mtu hawezi ishi maisha yake kwa amani?

Hahahaha na sijui hii aibu ya vitu vetu wenyewe huwa tunatoa wapi ndio kweli vitu vetu vingi sio quality ila isiwe sababu ya kuhama usiku
 
We unaona aibu kupeleka kwa Fundi
Je mimi nnayekianika kitanda alafu nakimwagia maji ya moto nsemaje
 
Mi nawaambia watu nipo single eti wananicheka sijapenda
 
Back
Top Bottom