Leo weekend halafu sina hela nimechanganyikiwa

Oya hii mbuzi Ina Nini leo?mbna inapost utumbo kila nusu saa!?hasira za mwanza usizihamishie humu...kaposti fesibuku ulikozoea
 
Oya hii mbuzi Ina Nini leo?mbna inapost utumbo kila nusu saa!?hasira za mwanza usizihamishie humu...kaposti fesibuku ulikozoea
kuna watu jf siku hizi wa ovyo kweli..
sijui fesibuku hakuna jipya huko
 
Ukicheki yanga kashinda na kuna fainali leo halafu ni weekend mfukoni sina kitu dah nimechanganyikiwa
 

Usijicheleweshe
 

Attachments

  • b29b6ce204c7a71ed2b3df1658fcbf09cf4019a5.jpg
    8.4 KB · Views: 13
Vuta bangi zako mbili za buku nne kisha vunga, Ganja ni happiness
 
Kasirikia umasikini wako,,, amka ukafanye kazi..

Acha kuwaza utajiri kwa hela ya kuokota...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…