Leo Yanga kabebwa kesho zamu ya Simba

Mwisho wa kituo chenu Makolokolo FC ni makundi, sana sana mkijiita IDI ni robo fainali.

Endeleeni kuwa wasindikizaji bora wa CAF [emoji1787]
Mimi tangu nimezaliwa kuna timu sijawahi kuishuhudia ikicheza hatua ya makundi ya CAF Champions League
 
Mwisho wa kituo chenu Makolokolo FC ni makundi, sana sana mkijiita IDI ni robo fainali.

Endeleeni kuwa wasindikizaji bora wa CAF [emoji1787]
alafu ujue wewe kima kuingia tuu makundi unavuna almost 1.5 bilioni, kuingia robo almost 2.4 bilioni sasa huoni kama huna akili jamaa yangu???
 
usijizime data,zamu ya Simba ilishapita tena ilikuwa ni zamu kuu kuliko hata hii ya Yanga. mikia inajifanya misahaulifu sana ila sisi tuna-deal na maktaba za kidigitali.
 
Attachments

  • VID-20221030-WA0005.mp4
    1.6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…