Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Yanga haijatolewa?Nawaambia kabisa viongozi wa Simba kama Jamhuri wangekuwa na quality kidogo tu kesho asbh tulikuwa tunarudi Dar es salaam, mchezo leo ulikuwa mgumu sana na kwa pira lile leo kama tungecheza tu na hata Ihefu tungerudi nyumbani.
Jamhuri walipata sapoti kutoka kwa jamaa zetu waliopigwa mabao 3-1 jana, sasa nawakumbusha keshokutwa ni Simba vs Singida, Yanga, Azam.
Kazi ipo
Hujui mpira. Umekariri kwanba mpira ni kukimbia tu.Nawaambia kabisa viongozi wa Simba kama Jamhuri wangekuwa na quality kidogo tu kesho asbh tulikuwa tunarudi Dar es salaam, mchezo leo ulikuwa mgumu sana na kwa pira lile leo kama tungecheza tu na hata Ihefu tungerudi nyumbani.
Jamhuri walipata sapoti kutoka kwa jamaa zetu waliopigwa mabao 3-1 jana, sasa nawakumbusha keshokutwa ni Simba vs Singida, Yanga, Azam.
Kazi ipo
Sijui tumuamini nani sasa.. Labani anasema ilikuwa ni mechi ya kuwajaribu wachezaji[emoji23]Nawaambia kabisa viongozi wa Simba kama Jamhuri wangekuwa na quality kidogo tu kesho asbh tulikuwa tunarudi Dar es salaam, mchezo leo ulikuwa mgumu sana na kwa pira lile leo kama tungecheza tu na hata Ihefu tungerudi nyumbani.
Jamhuri walipata sapoti kutoka kwa jamaa zetu waliopigwa mabao 3-1 jana, sasa nawakumbusha keshokutwa ni Simba vs Singida, Yanga, Azam.
Kazi ipo
Mbona mnatuchanganya? Kama ni uzushi mod piga banYanga wanarudiana na APR leo. Game itakuwa ngumu It's a do or die game kwa yanga lazima washinde waingine nusu wakifungwa tena wanatoka
Acha kutafuta kuonewa huruma. Pambana na hali yakoNawaambia kabisa viongozi wa Simba kama Jamhuri wangekuwa na quality kidogo tu kesho asbh tulikuwa tunarudi Dar es salaam, mchezo leo ulikuwa mgumu sana na kwa pira lile leo kama tungecheza tu na hata Ihefu tungerudi nyumbani.
Jamhuri walipata sapoti kutoka kwa jamaa zetu waliopigwa mabao 3-1 jana, sasa nawakumbusha keshokutwa ni Simba vs Singida, Yanga, Azam.
Kazi ipo
Sijui ni nini kimewapata mashabiki wa Simba kufanya wasahau muenendo wao ktk mechi za nyuma.Kabla ya kuilaumu Yanga Rudi nyuma michezo kumi aliyocheza Simba alafu fanya tathmini ya timu Yako katika utengenezaji na umaliziaji wa nafasi wanazopata.
Kama maswala ya ushirikina hakuna anaye iweza Simba inayo tambuliwa na CAF kwa shriki.
Na ww toka uipate hyo ya CAF umesahau kabisa nyie kwa ushirikina localy hamfai..kupita milango isiyoruhusiwa na kumwaga mimaji ya kilozi uwanjani au kw sbb hyo ni ss wabongo eee...Kabla ya kuilaumu Yanga Rudi nyuma michezo kumi aliyocheza Simba alafu fanya tathmini ya timu Yako katika utengenezaji na umaliziaji wa nafasi wanazopata.
Kama maswala ya ushirikina hakuna anaye iweza Simba inayo tambuliwa na CAF kwa shriki.
Sio ya CAF tu, apa bongo Simba imesha adhibiwa na kuonywa maranyingi zaidi kuhusiana na ushirikina kuliko klabu yoyote Nchini.Na ww toka uipate hyo ya CAF umesahau kabisa nyie kwa ushirikina localy hamfai..kupita milango isiyoruhusiwa na kumwaga mimaji ya kilozi uwanjani au kw sbb hyo ni ss wabongo eee...
Yanga na Simba kw ndumba hamchekani..sema nyie mnasahaulika tuuSio ya CAF tu, apa bongo Simba imesha adhibiwa na kuonywa maranyingi zaidi kuhusiana na ushirikina kuliko klabu yoyote Nchini.
Zipo kumbukizi nyingi tu za kipindi Cha nyuma zihusuzo adhabu za Simba walizopewa na TFF kuhusu ulozi ila tuna watunzia heshima kuzirejesha jukwaani.
Yanga ni magwiji kwa uchawi.Sio ya CAF tu, apa bongo Simba imesha adhibiwa na kuonywa maranyingi zaidi kuhusiana na ushirikina kuliko klabu yoyote Nchini.
Zipo kumbukizi nyingi tu za kipindi Cha nyuma zihusuzo adhabu za Simba walizopewa na TFF kuhusu ulozi ila tuna watunzia heshima kuzirejesha jukwaani.
Kinini? HahahKikowapi
Utabiri wake umeenda na maji ati π€£ππKinini? Hahah
Huyo ni mzee wetu wa ndumba... π π πUtabiri wake umeenda na maji ati π€£ππ