Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Umkumbushe bday yako iko njiani kwahyo kama atakubali muda huu au asubiri bday ipite ndio muanze. Maana sitaki lawama ooh sikujali hata zawadi sijakununulia.
Mnara wa Tz yani Poker ananipenda mno mno birthday yangu ilipita alinipa mizawadi acha kabisa kwa hyo na wewe usiache maan Poker ataninunulia macho matatu wewe utaninunulia PassoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haaa passo tu mbona unajishusha hivyo mama tamu mi nina haya 2 chagua moja wapo.
 
Mi nidhani huyu mnara tumle mtihani mmoja mrahisi sana akiuweza basi naimani atakuwa bora kwako. Embu mwambie akuboost na vocha ya 10k chap. πŸ˜‚ Nimekaa paleee
 
We mwanamke utanifilisi ww unapenda vitu vizuri eeh ila acha tuendee mdogo mdogo.

Birthday yako ni lini?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚November 18
Ntakufilisi kweli mim ni sheeeedaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…