Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Sema tutakulana mwakani sio ntaliwa. 🀭

Jocking πŸ™‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Hapa aliwi mtu
Si umesema jimbo liko wazi?

Sasa ukipata hamu nani anakutuliza mama tamu? .

Hupendi tukulane kwenye discovery ntayokupa πŸ€ͺπŸ˜œπŸ˜›πŸ˜›.
 
Amesema vitu vidogo kama vocha hashindwi kukupa. Kwahyo anataka guarantee ili asije poteza muda wake kwako.
Kwangu mim atapoteza muda tu.
Labda hadi siku niamue kukaa kimahusiano.
 
Usiwe na shaka maana ndege warukao wafanana. Amenipigia cm muda huu anasema kama ameanza kukuelewa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Una madhambi wewe
 
Mwenzako moyo wake mwepesi, chochote atakufanyia ukiwa wake. Tayari kashafall inlove na wala hatakuacha uteseke. Umependwa Lovelovie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…