Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Hahaha ni. Balaa " ... umekuwa means haupendi tena music or hauyumbishwi na hisia !!?Hii better in time ukiwa broken heart ndio utaelewa mashairi yake, niliusikiliza sana mwaka 2015 pamoja na Angel break my heart wa Toni Braxton bila kumsahau mzee baba Enrique na kibao chake cha Somebody's me....
I was going thru hell thanx God nimekua sasa duuh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyumbishwi tena na hisia, hata akinifanyia vituko nacheka tu kisha nasamehe, sitaki kabisa kurudi kwenye ile situation, never again.Hahaha ni. Balaa " ... umekuwa means haupendi tena music or hauyumbishwi na hisia !!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ana sauti adhimu sana ... yuko next levelKweli mpaka umetunga maneno matata juu yake. Kweli amekukosha.
Huyu dada anasauti nzuri sanaa
Your the reason ndo nzuri pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha " pole mara nyingi ile hali huwa inachangiwa na utoto au ugeni wa matukio hasi katika mahusiano .. ila ukishakutana nayo na kuweza kuyakabili" ..hata yakija kujitokeza tena hauwezi kuyapa nafasi ya kukuyumbishaSiyumbishwi tena na hisia, hata akinifanyia vituko nacheka tu kisha nasamehe, sitaki kabisa kurudi kwenye ile situation, never again.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wooww asante aise " kweli thread imepata muhusika ""Better In Time" by LEONA LEWIS.
It's been the longest winter without you
I didn't know where to turn to
See, somehow I can't forget you
After all that we've been through
Going, coming, thought I heard a knock
Who's there? No one
Thinking that I deserve it
Now I realize that I really didn't know
If you didn't notice
You mean everything
Quickly I'm learning to love again
All I know is I'mma be OK
Thought I couldn't live without you
It's gonna hurt when it heals too
It'll all get better in time
And even though I really love you
I'm gonna smile 'cause I deserve to
It'll all get better in time
I couldn't turn on the TV
Without something there to remind me
Was it all that easy
To just put aside your feelings?
If I'm dreaming don't wanna laugh
Hurt my feelings but that's the path
I believe in
And I know that time will heal it
If you didn't notice
Boy you meant everything
Quickly I'm learning to love again
All I know is I'mma be OK
Thought I couldn't live without you
It's gonna hurt when it heals too
It'll all get better in time
And even though I really love you
I'm gonna smile 'cause I deserve to
It'll all get better in time
Since there's no more you and me
(no more you and me)
It's time I let you go so I can be free
And live my life how it should be
(but I know, but know)
No matter how hard it is I'll be fine without you
Yes, I will
Thought I couldn't live without you
It's gonna hurt when it heals too
It'll all get better in time
And even though I really love you
I'm gonna smile 'cause I deserve to
Yes, I do
It'll all get better in time
Thought I couldn't live without you
It's gonna hurt when it heals too
It'll all get better in time
Even though I really love you
Gonna smile 'cause I deserve to
It'll all get better in time
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam hasa kwenye utoto na wanasema kila mtu kabla hajafa lazima aumizwe na mapenzi ndio akae sawa, lol sina hakika sanaHahaha " pole mara nyingi ile hali huwa inachangiwa na utoto au ugeni wa matukio hasi katika mahusiano .. ila ukishakutana nayo na kuweza kuyakabili" ..hata yakija kujitokeza tena hauwezi kuyapa nafasi ya kukuyumbisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah " sahihi kabisa .. lakini ajabu kuna wengine wanashindwa kuivuka hiyo stage "Naam hasa kwenye utoto na wanasema kila mtu kabla hajafa lazima aumizwe na mapenzi ndio akae sawa, lol sina hakika sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah adele ni the baddest ... muogope sana mwana muziki ambaye ana music trending wa peke yake lakini bado akiuingiza sokoni hiyo trending inafanya " vyema " !!?All in all Adele alikuja kuwagaragaza sana hawa ma vocalist wa kike
Sent using Jamii Forums mobile app