Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Naona besti wa Msigwa kaamua amfuate CCM.
Je, fukuto la CHADEMA litatoa kiongozi mwingine kwenda CCM?
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
=====
Leonce Marko kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( lChadema) amejiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
Marto amejizolea umaarufu ndani ya chadema kabla ya kutimkia CCM na ameshikiria nyadhifa mbalimbali.
Nafasi alizowahi kushikiria Leonce Matto - Mjumbe wa sekretarieti ya kanda ya Nyasa, Katibu Mwenezi kanda wa Nyasa (ambao ulikoma baada ya Sugu kuingia madarakani May 29, 2024), Mjumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Iringa Mjini, Mgombea Udiwani kata ya Nduli 2020, alikuwa Advance Team ya Taifa ya mgombea Urais 2015.