rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,122
- 1,313
Gharama ya mafunzo ni kiasi gani na kwa muda gani?Kwa wale wadau wa sanaa ya mapigano karibuni sn leopard ujifunze jinsi ya kujihami dhidi ya adui wa aina mbalimbali.
Ukiwa leopard utajifunza kuchezea fimbo & cheni, kisu & panga, technic zote za roba.
Pia, kwa wale wenye mili mikubwa karibu mutoe mafuta na kujifunza pia maana sanaa hii haichagui aina ya mwili yeyote anaweza kujifunza.
Ewe dada, kaka, baba njoo Njooni mujifunze, location ni Kinondonimuda ni saa moja hadi mbili na nusu Usiku, mwalim ana Dan 4 (4 degree of karate)
Kwa mawasiliano zaidi nicheki 0656444206
View attachment 1493735
Hii ni utapeli tu
Gharama ya mafunzo ni kiasi gani na kwa muda gani?
Kila la kheri sana,msisahau kufungua na matawi mikoani.
Mafunzo yanachukua muda gani mpaka kuiva?Mkuu gharama ni elfu 50 kwa mwezi na kila baada ya miezi mitatu kutakuwa na mitihani kwa wanafunzi watakao kuwa wamefuzu watapanda mikanda kutoka mweupe kwenda yellow au green, pia kila baada ya miezi mitatu kutakuwa na mashindano yatakayokusanya madojo yote dar na mikoani kwa watakaokua na nia ya kushiriki basi wataruhusiwa na mashindano yetu ni mazuri sn karibu mkuu au mlete kijana au ndugu yako
Mafunzo yanachukua muda gani mpaka kuiva?