beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Leopold Mahona kuwa mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ally Hamis kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kupitia tiketi ya Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA)