[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha vyama vingine ni vya kiharamia, (NRA) National Rifle Associations.
Vyama vya kigaidi hivi, kaijage aangalie upya.
Usiwawafanye wakapita bila kupingwa, ndio wanachotaka, kuondoa ushindani.Uchaguzi Tanzania ni kuhusu Lissu na Chadema kama hawa hawapo uchaguzi nao hautakuwepo.