BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Jul 13, 2018 #21 MSAGA SUMU said: Kama alifuata ya mzee wake atakuwa muislam Click to expand... Sawa mkuu...
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Jul 13, 2018 #22 ancillary said: Nimeipenda hii ,maisha ya uswazi matamu sana,usikute kuna demu wake Tandika Click to expand... Au gongolamboto
ancillary said: Nimeipenda hii ,maisha ya uswazi matamu sana,usikute kuna demu wake Tandika Click to expand... Au gongolamboto
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Jul 13, 2018 #23 inamankusweke said: kuanzia leo namtazama kwa jicho pevu..kumbe kala miguu ya kuku na chachandu za tmk! Click to expand... Na kwa Wahaya tmk kapita
inamankusweke said: kuanzia leo namtazama kwa jicho pevu..kumbe kala miguu ya kuku na chachandu za tmk! Click to expand... Na kwa Wahaya tmk kapita
Bill JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,258 Reaction score 10,014 Jul 13, 2018 #24 rwechunguraa said: Tupe link tupitie maana lumumba hawaaminiki Click to expand... Tehee vp Ufipa kuna aminika siku hizi
rwechunguraa said: Tupe link tupitie maana lumumba hawaaminiki Click to expand... Tehee vp Ufipa kuna aminika siku hizi
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Jul 13, 2018 #25 rwechunguraa said: Tupe link tupitie maana lumumba hawaaminiki Click to expand... Na hii soon utaskia Ktk kuunga mkono juhudi za Rais...
rwechunguraa said: Tupe link tupitie maana lumumba hawaaminiki Click to expand... Na hii soon utaskia Ktk kuunga mkono juhudi za Rais...
1 1954 JF-Expert Member Joined Nov 14, 2006 Posts 11,246 Reaction score 13,722 Jul 14, 2018 #26 Louis II said: duh hili hata ZFA na TFF Hawalifahamu....maana wangelitumia kutafuta kiki Click to expand... Hahahahaha siyo TFF na ZFA tu ..hata wale wanaojiita wachambuzi wa soka au sijui waandishi wa michezo nao hawajui chochote...kama wangejua ungekuta makala kemkem za uchambuzi wa hovyo
Louis II said: duh hili hata ZFA na TFF Hawalifahamu....maana wangelitumia kutafuta kiki Click to expand... Hahahahaha siyo TFF na ZFA tu ..hata wale wanaojiita wachambuzi wa soka au sijui waandishi wa michezo nao hawajui chochote...kama wangejua ungekuta makala kemkem za uchambuzi wa hovyo